Saturday, January 1, 2011

JOICE KIRIA AMALIZA MWKA KWA AJALI

 
Hapa joice kiria akizungumza jambo na mwnzake waliopata nae ajali mara baada ya ajali kutokea
 
Gari la Joice Kiria linavyoonekana baada ajali

Ilikua ni Ijumaa ya tarehe 31/12/210 (jana) mida ya saa tano asubuhu Joice akielekea moshi alipofika katikati ya mkata na kabuku ndio ajali katoea lakini kwa bahati nzuri hakua aliepoteza uhahi wa hakuna aliejeruhiwa vibaya.
mtoto wa kitaa na watanzania wote tunampa pole Joice Kiria, tunamomba awe na moyo wa subira pia tunamtakia heri ya mwaka mpya.

No comments:

Post a Comment