Saturday, January 1, 2011

MC GEORGE AUGEUKIA MUZIKI WA BONGO

Mc George yupo tayari kabisa kukabiliana na hili soko la muziki wa kibongo na kwa mara ya kwanza ameachia ngoama yake hii inajulikana kama HADITH akiwa amemtupia mwanadada Zuhura pale kati. mpango mzima wa Audio imefanywa na VILL pale 24/7 huku Video iksababishwa na mtu mzima MALCCOM
Kuhusu picha, habari na mambo mengine mengi tu kuhusu Mc George Utayapata hapa kwenye blog ya kijanja ya mtoto wa kitaa Kaa mkao wa kula

No comments:

Post a Comment