Tuesday, May 15, 2012

WANAFUNZI WA DARASA LA KWANZA SHULE YA MSINGI MAKUMBUSHO KAMA WANAVYOONEKANA DARASANI LEO HII

HAWA NI BAADHI YA WANAFUNZI WA DARASA LA KWANZA  KATIKA SHULE YA MSINGI MAKUMBUSHO YA JIJINI  DAR ES SALAAM WAKIWA DARASANI, SIJUI WAPO WANGAPI, WATOTO HAWA HULAZIMIKA KILA MWEZI KULIPA Tsh1000 YA MTIHANI WA MWEZI,Tsh 1500 YA MTIHANI WA TERM,Tsh500 YA KILA SIKU YA UJI HAPO BADO TIUSHENI,USAFI, MLINZI,LEBO,VIDUMU,FAGIO, NA MADAFTARI PIA HULAZIMISHWA KUNUNUA HAPOHAPO.

No comments:

Post a Comment