Sunday, May 6, 2012

JOSEPH SHALUWA APOKEA RASMI MKATABA WA KUANDIKA KITABU CHA MAISHA YA STEVEN KANUMBA

Mwandishi wa Kitabu cha STEVEN KANUMBA - Mwisho wa Enzi, Joseph Shaluwa (mwenye tai) akipokea mkataba wa kisheria kati yake na mama wa marehemu Kanumba, Flora Mtegoa, nyumbani kwa marehemu leo saa 7 mchana, Sinza, Vatican, jijini Dar es Salaam.
Shaluwa amepewa mkataba huo baada ya kulipa asilimia 35 ya faida ya kitabu hicho. Kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa Shirikisho la Filamu Tanzania 'TAFF' Wilson Makubi, Seth Bosco, mdogo wa marehemu na Simon Mwakifwamba, Rais wa TAFF.

No comments:

Post a Comment