Sunday, May 13, 2012

HUYU MJAMAA a.k.a ZE DUDU /MAPAFU YA MBWA AMEPOTELEA WAPIIIIII!?

Nkumbuka mara ya mwisho nilikutana na huyu mjamaa kule bahari beach kipindi hicho akiwa chini ya lebo ya Mzuka Records, baada ya hapo nikasikia kaenda kujichimbia Mwanza mara karidi Dar lakini chaa ajabu Mchizi kapotea kabisa kwenye gemu.
Naomba nisemee hivi "we mjamaa ZE DUDU a.k.a Kapafona a.ka Mapafu ya Mbwa, umapotelea wapi au ndi umaeishiwa mashari?! em rudi kwenye gem bana wadau na mashabiki wako wamekumisi kwa kipindi kirefu sasna na kingine ulisema HUWEZI KUSEPA sasa mbona ndio umesepa tena kimya kimya!?" 
Kwa yeyote anaefahamu mahali ZE DUDU alimpo naomba anipigie simu tafadhali.

No comments:

Post a Comment