Thursday, May 10, 2012

TASWIRA KATIKA KIZAZI CHA NAMTUMBO.

"MAWAZIRI NA MARAIS WA KESHO WATATOKA HAPA"
Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Selous wa Darasa la Sita, wakiwa darasani wakiendelea na kipindi na mwalimu wao anayeonekana mbele akiwafundisha. Tatizo la madarasa katika Wilaya ya Namtumbo ni moja ya sababu inayoathiri kushuka kwa kiwango cha elimu Wilayani humo. Picha na Mpiga Picha Wetu

No comments:

Post a Comment