Thursday, May 3, 2012

BOU NAKO NA MAJEMBE WENGINE NDANI YA EMPIRE SPORT BAR.

BouNako,MoPlus,Lady Fire,BadTaito,Yung Omega,Wachaina,DopBoy na Mc's kibao watakua pande za empire sports bar inside Shoprite complex tarehe 4 May 2012 kupiga show heavy ya hiphop na ragga kwa hisani ya Empire,93.0 MJ fm Station Arusha na Noizmekah Studios,show hii itakua hot,kwa kiingilio cha elfu tano TU!

No comments:

Post a Comment