Thursday, May 24, 2012

TANZANIA MUAY-THAI ACDEMY OF COMBAT.

Emmanuel SHIJA wa pili kutoka kushoto akiwa na wapiganaji wenzake kabla ya kupanda ulingoni katika mashindano ya Muay thai academy of combat yaliyokua yakifanyika nchini Irani hivi karibuni
 
Emmanuel SHIJA akiwa na shabiki wake baada ya kupigana nchini irani hivi karibuni

1 comment:

  1. asanta sana kaka sule kwa kuitangaza muay-thai hapa bongo karibu sana na mungu akubariki

    ReplyDelete