Sunday, May 6, 2012

MISS INTERCOLLEGE SOUTHERN HIGHLAND ZONE 2012

Mshindi namba moja aliyekaa kutoka Chuo Kikuu cha Tumaini Iringa, Kushoto kwake ni Mshindi wa Pili kutocha Chuo cha TIA na kulia ni Mshindi wa Tatu kutoka Chuo Kikuu cha TEKU
Warembo 12 kutoka Vyuo vikuu kutoka Kanda ya Nyanda za Juu Kusini wakiwa jukwaani katika Shindano la kumsaka  Miss Intercollege Southern Highland zone.
Burudani ya Muziki kutoka kwa DJ Imma Boy wa Kituo cha kurushia Matangazo na burudani cha Bomba FM Mbeya, ambao ni waandaji wa Shindano la Miss Mbeya Mkoa litakalofanyika June 1, Mwaka huu.

Picha zote kwa hisani ya Chimbuko letu Blog

No comments:

Post a Comment