Thursday, May 10, 2012

BONDIA SELEMANI KIDUNDA AFUZU KUSHIRIKI MASHINDANO YA OLIMPIKI


Makamu Mwenyekiti wa chama cha ngumi za ridhaa nchini Michael Changalawe akitoa nasaa zake kwa mabondia wa timu ya Taifa  wakati wa kumpongeza  bondia Selemani Kidunda baada ya kufuzu katika mashindano ya Olimpik yanayotarajia kufanyika hivi karibuni.

Baadhi ya mabondia,viongozi na makocha wakiwa wameweka mikono kwa pamoja kwa ajili ya kumuombea dua bondia Selemani Kidunda atakaewakilisha Taifa katika Mashindano ya Olimpiki
Makamu Mwenyekiti wa chama cha ngumi za ridhaa nchini Michael Changalawe akipa mkono bondia Selemani Kidunda wakati wa kumpongeza baada ya kufuzu katika mashindano ya Olimpik yanayotarajia kufanyika hivi karibuni.
Picha zote na www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments:

Post a Comment