Sunday, May 13, 2012

MKE WA MTU SUMU HAYA SASA NYETI ZAGANDIANA ONA!


Wakati wa mchana katika kijiji cha TASSIA, EMBAKASI NAIROBI jamaa mmoja amekutwa akiwa AMEKWAMA yani mwili wake na umenasa na kukataa kuachiana na mwili wa MKE WA MTU walipokuwa wanajiburudisha. 

JAMAA mwenyewe anadaiwa kuwa wa jamii ya WAKISII na mke wa mtu ana asili ya jamii ya WAKAMBA, ambapo inasemekana baada ya stori kuendelea sana kwamba jamaa anaiba mke wa mtu, MUME ilibidi aende kwa MGANGA kumfunga MKE WAKE ili asifanye mapenzi nje ya NDOA na akifanya hivyo ATAKWAMA, yani kukwamba wana maanisha jamaa yeyote atakae ingia kwenye mtego mwili wake hautoachana na mwili wa mwanamke huyo, itashikana na aibu iwakute.Shuhuda wa tukio hilo amesema “huyu jamaa amekutwa kwa nyumba ya mtu akihanyahanya bibi ya mwenzake, naona ni uchawi sasa polisi wamewachukua wakiwa wameshikana hivyo hivyo” Sasa baada ya wawili hao kufumaniwa, wamechukuliwa na polisi wakiwa hivyo hiyvo miili yao imeungana na hakuna uwezekano wa madaktari kuwatenganisha, kinachotakiwa hapo ni mpaka mume wa huyo mwanamke atakapo kwenda kwa mganga aliefanya hayo mambo ndio atengue.

HAYA NI MAJAABU NAKUANGALIA UWE NA UMRI ZAIDI YA 18 WATOTO HAIFAI

No comments:

Post a Comment