
Haya sasa Hawa ndio warembop kutoka Bukoba katika pouzi huku wakisikiliza jambo

Mkuu wa Bandari Ndg Ernest Nyambo akisalimiana na walimbwende hawa

Warembo wa Miss Tourism wakipata maelezo ya kina kutoka kwa mmoja wa amaofisa wa Bandari

Afisa wa Bandari Mdau Ajuaye Kheri Msese akiwapa somo walimbwende katika kuwapa uelewa zaidi wa mambo mbalimbali.

Muandaaji wa Onyesho hili Bi Dinna akimshkuru AFISA wa Bandari ndg Msese.
No comments:
Post a Comment