Thursday, July 5, 2012

KASEBA VS CHEKA, WOLPER VS WEMA KUONESHANA UMWAMBA SIKU YA SABA SABA

Msanii wa Filamu Nchini Jaqlin Wolper akizungumza na waandishi wa habari Dar es salaam leo kuhusu mpambano wake wa masumbwi na Wema Sepetu utakaofanyika Katika uwanja wa Taifa siku ya sabasaba
Kocha wa bondia Wema Sepetu ambani Msanii Bondia Rashidi Matumla akiongea kwa niaba wakati wa kutambulisha mpambano uho leo

No comments:

Post a Comment