Sunday, July 22, 2012

MENEJA WA BIA YA KILIMANJARO ALIPOZITEMBELEA TIMU ZA SIMBA NA YANGA.

George Kavishe(wa kwanza kushoto), Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager akiongea na nahodha wa timu hiyo Juma Kaseja alipoitembelea timu hiyo kwenye kambi ya mazoezi kwa ajili ya Kombe la Kagame jijini Dar es salaam.

Kocha mkuu wa Yanga, Thomas Saintfiet (kushoto) akizungumza na Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe alipoitembelea timu hiyo kwenye kambi ya mazoezi  jana. Picha na Executive Solutions.

No comments:

Post a Comment