Tuesday, July 3, 2012

MABONDIA WA TANGA WAMKUMBUKA BONDIA MAGOMA SHABANI ALIYEFARIKI DUNIA KWA KUMCHANGIA KWA KUPIGANA

Bondia Ramadhani Mbwana kushoto akipambana na Patrick Kimweri wakati wa mchezo wa masumbwi yaliyofanyika Mkoa wa Tanga jana kwa ajili ya kumuenzi na kumchangia bondias Marehemu Magoma Shabani aliefariki Dunia Kimweri alishinda mchezo huo kwa point
Baadhi ya Mashabiki waliojitokeza katika mpambano wa masumbwi kwa ajili ya kumuenzi bondia Magoma shabani yaliyofanyika jana katika Mkoa wa Tanga
Bondia mkokwe wa siku nyingi Chales Muhilu 'Spins' ambaye kwa sasa ni Kocha wa Mkoa wa Tanga akifatilia mashindano hayo jana.
Bondia Ramadhani Mbwana kushoto akipambana na Patrick Kimweri wakati wa mchezo wa masumbwi yaliyofanyika Mkoa wa Tanga jana kwa ajili ya kumuenzi na kumchangia bondias Marehemu Magoma Shabani aliefariki Dunia Kimweri alishinda mchezo huo kwa point

No comments:

Post a Comment