Sunday, July 1, 2012

NDANI LIVE BAND - FREEDOM BAND NA BENJAMINI WA MAMBOJAMBO JANA USIKU

Bejamini wa Mwambojambo na Bend yake wakiwarusha wadau waliofika pale Makhot hatel.
Wadau wakishoo lav na bend.
Baadhi ya Wadau wakiwa wanapata moja moja.
Hata mimi mtoto wakitaa (kushoto) nilikuwepo. kulia na Producer kutoka Mzuka rec. JC.
Wadau wa blog hii wakishoo lav na kamera ya Mtoto wa kitaa.

No comments:

Post a Comment