Monday, July 16, 2012

MANJI ASHINDA KWA KISHINDO UENYEKITI JANGWANI (YANGA)

Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi wa Klabu ya Yanga, Jaji John Mkwawa kushoto akiwa na Mjumbe wa kamati hiyo Mzee Mzimba
Mwenyekti mpya wa Yanga, Yusuf Manji (kulia) akiwa na Makamu wake Clement Sanga (picha na bongostaz)

Nafasi ya Makamu Mwenyekiti imekwenda kwa Clement Sanga aliyejipatia asilimia 62% ya kura zote zilizopigwa katika nafasi ya u makamu mwenyekiti.
Abdallah Bin Kleb, Moses Katabaro, Aaron Nyanda na George Manyama  wamechaguliwa katika nafasi ya ujumbe wa kamati ya  Utendaji.
Jaji Mkwawa amewashukuru wana Yanga kwa kuwa wastaarabu na watulivu, kitu kilicholekea kufanyika uchaguzi kwa amani na zoezi hilo kumalizika salama pasipo kuwa na rabsha yoyote.
Matokeo kamili ya wagombea ni:

Nafasi ya Mwenyekiti:
Yusuf Manji  (kura 1876)  97.0%,  John Jembele (kura 40) 2.6%,  Edgar Chibura (kura 4) 0.24%

Nafasi ya Makamu Mwenyekiti:
Clement Sanga (kura 1948) 62.6%, Yono S Kevela (kura 475) 23%,  Ayoub Nyenzi (kura 288) 14%

Nafasi ya Ujumbe: 
Abdallah Bin Kleb (kura 1942), Moses Katabaro (kura 1068),  Aaron Nyanda (kura 922), Geroge Manyama (kura 682), Beda Tindwa (kura 391), Edgar Fongo (kura 295),  Graticius Ishengoma (kura 247),  Jumanne Mwamenywa (kura 251),  Justine Baruti (610),  Lameck Nyambaya (kura 425),  Omary Ndula (kura 170),  Peter Haule (441),  Ramadhan Said (249),  Yono Kivela (123)

kutokana na matokeo yalivyo hapo juu safu ya viongozi waliochaguliwa ni
Mwenyekiti: Yusuf Manji,
Makamu Mwenyekiti: Clement Sanga
Wajumbe: Abdallah Bin Kleb, Moses Katabaro, Aaaron Nyanda, Geroge Manyama
Stori kwa hisani ya DINA ISMALI

No comments:

Post a Comment