Monday, July 9, 2012

MARIO VAN PEEBLES AWASILI DAR KWA AJILI YA TAMASHA LA ZIFF

Muigizaji na muongoza filamu Nguli kutoka Hollywood nchini Marekani, Mario van Peebles amewasili nchini kuhudhuria Tamasha la filamu Zanzibar, ZIFF na pia kuzindua filamu yake mpya inayojulikana kwa jina la We The Party katika ukumbi wa Century Cinema, Mlimani City Jijini dar, hapa akilakiwa na waandaaji katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Jijini
Hapa Mario akiwa na Mandela Van Peebles, mwanaye na ni muigizaji mkubwa katika filamu yake mpya itakayoitwa We The Party
 
Hapa akiwa katika pozi na mwenyeji wake, Ibrahim Mitawi kutoka ZIFF

No comments:

Post a Comment