Friday, July 6, 2012

LEO NI SIKU YA KUZALIWA KWA MWANANGU WA KITAA, MANSU-LEE a.k.a SINZA STAR

Uongozi wa kampuni ya SULE'S INC. & ENTERTAINMANT na Blog ya MTOTO WA KITAA, wote kwa pamoja tunamtakia Mansu Lee kheri ya Sikukuu ya kuzaliwa pia tunamtakia maisha marefu, mema na yenye mafanikio.

No comments:

Post a Comment