Sunday, February 12, 2012

WASANII WARUDI KIJIJINI WAJENGA KIJIJI CHA MWAZENGA KIMBIJI - MKURANGA

Hizi ni baadhi ya Nymba za wasanii zilizopo mkuranga.
Mwenyekiti wa Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) Cassim Taalib akitoa maelezo ya nyumba zinazoendelea kujengwa katika kijiji cha Mwanzega Kimbiji Tarafa ya Mkuranga Chingungweni Mkoa wa Pwani juzi
Mwenyekiti wa Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) Cassim Taalib (katikati) akimwelekeza Sheikh Majaliwa Selemani aliekwenda kuangalia maendeleo ya kijiji cha Mwanzega Mkulanga Tarafa ya Chingungweni, zinapojengwa nyuma kwa ajili ya wasanii Sheikh Majaliwa , alitoa Ahadi ya kujenga Msikiti na Madrasa itakayofadhiliwa na African Relief
Waandishi wa habari za michezo pamoja na wasanii, wakitembea kwa ajili ya kwenda kuangalia ujenzi unaoendelea wa nyumba zao, katika kijiji cha Mwanzega Kimbiji Tarafa ya Mkuranga Chingungweni Mkoa wa Pwani jana kutoka kulia ni Tomm Chilala, Kibwana Dachi na Kikumbi Mwanza Mpango ' King Kiki'.
(picha na www.burudan.blogspot.com)

No comments:

Post a Comment