Friday, February 24, 2012

TUPO SAFARINI TUNAELEKEA SINGIDA WADAU!

Hapaa ilikuwa saa kumi na moja alfajiri tulipoanza safari pale ubungo
Mji wa morgoro wakati tukipita
Hpa kaka yangu Hussein akiwa anapata kitu cha msosi mara tulipofika Gairo.
Hapa ni gairo mida ya lanchi mtoto wa kitaa nikiwa tayari na maji yangu mkononi.
Hapa nikiingia kwa gari tena tayari kwa safari ya kuelekea dodoma
......Nashukru mungu muda huu tupo Manyoni tunaitafuta Singida sasa

No comments:

Post a Comment