b..

B1

Wynem

animation

Wednesday, February 1, 2012

HIVI NDIO BENJA ALIPOTOKEA KWENYE TUNDU LA SINDANO.

Benjamini Wa Mambojambo (kulia) akiwa na wenzake waliokuwa wakiunda kundi la Mambojambo
Hapa ni wakati wasamaria wema wakimsaidia kulitoa gari shimoni alipoingia baada ya kupewa pande na roli (halipo pichani) lilikua limebeba kifusi.

Hapa ni baada ya gari kufikishwa nyumbani kwake.

No comments:

Post a Comment