Sunday, February 19, 2012

MSANII SIMON MWAPAGATA 'RADO' ATOA MSAADA KWA WATOTO BUGURUNI VIZIWI.

Msanii wa filamu nchini Simoni Mwapagata (Rado) (kushoto) akitoa msaada wa vitu mbalimbali vikiwemo juice na biskuti kwa mtoto wa shule ya Buguruni Viziwi,Isack Ntira, Dar es salaam jana msaada huo umetolewa na msanii huyo kwa kushilikiana na kampuni ya Steps Entatainment kulia ni Ibrahim Mbena.
Msanii wa filamu nchini Simoni Mwapagata rado (kulia) akitoa msaada wa vitu mbalimbali vikiwemo juice na biskuti kwa watoto wa shule ya Buguruni, Viziwi Dar es salaam jana msaada huo umetolewa na msaniihuyo kwa kushilikiana na kampuni ya Steps Entatainment
Msanii wa filamu nchini Simoni Mwapagata rado (kulia) akitoa msaada wavitu mbalimbali vikiwemo juice na biskuti kwa watoto wa shule ya Buguruni, Viziwi Dar es salaam jana msaada huo umetolewa na msaniihuyo kwa kushilikiana na kampuni ya Steps Entatainment

No comments:

Post a Comment