Tuesday, February 21, 2012

PSPF YATOA MSAADA WA MATAWATI SHULE YA MSINGI BWILINGU CHALINZE MKOA WA PWANI

Kaimu MKurugenzi Ukaguzi wa Ndani wa Mfuko wa Pesheni wa Utumishi wa Umma PSPF. Bw. Godfrey Ngonyani (kushoto) akikabidhi msaada wa Madawati 60 yenye thamani ya milioni tatu walioutoa leo kwa Mjumbe wa Kamati ya Shule Msingi Bwilingu, Chalinze Mkoa wa Pwani, Bi. Jacklin Kitego kulia na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Bi. Anifa Kombo.
Baadhi ya Wanafunzi wa  Shule ya Msingi Bwilingu, Chalinze Mkoa wa Pwani wakigombania kukaa kwenye madawati mapya walioletewa na Mfuko wa Pesheni wa Utumishi wa Umma PSPF.
(Picha na Mpigapicha Wetu)

No comments:

Post a Comment