Friday, February 10, 2012

ALICE FOUNDATION KUANDAA MAFUNZO YA MKUKUTA KWA VOLUNTEERS

Facilitator Mr William (MOF) na Mwenyeji wake Mwenyekiti wa Alice Foundation ambaye ndiye mwandaaji wa Training ya MKUKUTA
Mrs. Alice Dosi Mwamsojo(kushoto) akiteta jambo na mmoja wa wajumbe wa Alice Foundation katika mafunzo ya MKUKUTA
Facilitator Mr. Ghumpi From Ministry of Finance akielezea kwa kina kuhusu MKUKUTA
Volunteers wa Alice Foundation wakati wa mafunzo ya MKUKUTA
Picha ya pamoja na wawakilishi kutoka serikali za Mitaa katika kata ya Ubungo pamoja na mwenyekiti wa Alice Foundation

ALICE FOUNDATION ikishirikiana na Wizara ya Fedha jana 9th February 2012 LEGHO Hotel Jijini dar-es-salaam.
Elimu ya Mkukuta ilitolewa kwa watendaji na mwenyekiti serikali za mitaa zote katika kata ya Ubungo wilaya ya kinondoni Dar- es-salaam. wajasiriamali katika kata ya Ubungo pia walikuwepo.

No comments:

Post a Comment