Wednesday, February 15, 2012

MASHINDANO YA KUTAFUTA TIMU YA TAIFA YA MASUMBWI YAANZA LEO

Mabondia peter Stanley kushoto akipambana na Doto Shoka wakati wa mashindano ya kutafuta mabondia watakaoliwakilisha taifa katika mashindano ya kufunzu Olimpic mapema hivi karibuni 

Baadhi ya mashabiki wa mchezo wa Ndondi wakiwa wanafuatilia mpambano  (picha nawww.superdboxingcoach.blogspot.com)

No comments:

Post a Comment