Wednesday, February 8, 2012

KAA TAYARI KWA NANE NANE SOCCER BONANZA

Habarini za siku mbili tatu wadau wote wa michezo na burudani! tulikuwa kimya kidogo kutokana na mambo kuwa mengi kidogo lakini bado tupo kwenye mchakato wa bonanza letu kama kawaida. Nikiwa kama mdau mkubwa na kwa niaba ya kamati ya maandalizi ya bonanza hili (NANE NANE SOCCER BONANZA) napenda kuwaambia kuwa mchakato mzima wa maandalizi ya bonanza unakwenda vizuri na muda sio mrefu tutawapa taarifa za kila kitu kitakachoenda kufanyka siku ya tukio!

No comments:

Post a Comment