Thursday, February 16, 2012

JK ASAIDIA VIKUNDI VYA VIJANA MKOA WA PWANI

Rais Jakaya Kikwete akimwaga kokoto kwenye chekeche kwa ajili ya kufyatulia matofali.
Rais Jakaya Kikwete akifyatua tofali kwa mashine…
Rais Jakaya Kikwete akibeba tofali wakati alipotembelea kambi hiyo jana, katika hatua mbalimbali za kusaidia kufyatua matofali ya kisasa kwenye kambi ya mafunzo ya ujasiriamali na ujenzi kwa vijana 380 toka wilaya zote za Mkoa wa Pwani za Kibaha mjini, Kibaha vijijini, Mafia, Kisarawe, Mkuranga na Rufiji.

No comments:

Post a Comment