Tuesday, February 1, 2011

SIKU NILIPO SHOW LOVE NA WANAFUNZI WA MOROROGO SEKONDARI.

 
Hapa ndio mji kasoro bahari na hivi ndivyo unavyoonekana 
Mtoto wa kitaa nilikua kihi bana.
Wanafunzi wanaomaliza kidato cha sita wakiwa wametulia sehemu moja
Baadhi ya wanafunzi wakipongezana mara baada ya kupokea zawadi zao
Watu walijiachia na kamera ya mtoto wa kitaa kama hivi.
 
Ilifika kipindi cha keki na mimi mtoto wa kitaa sikusahaulika bana. 
JAMANI KEKI TAMUUUUUUH!

No comments:

Post a Comment