Friday, February 4, 2011

LYRICS ZA WE ARE FAMILY. NGOMA MPYA YA SOLO THANG.


INTRO
Together as one,
yaw we family
one father and thats HIP HOP

VERSE 1(SOLO THANG)
Sina haja ya kusaka ndugu,wakati Mr Two Ni SUGU
kuna Dogo mwanaharamu,Mwana FA kwangu binam,
Siwezi kuwasahau,hii nyimbo inaonyesha na care,ndugu zangu East Zuu,nipeni ghetto la NGWEA,
lete konyagi Sister P, Jay DEe inanitoa Machozi
nataka kuwa nawe milele,RAY C mbona mchokozi
leo hapa RAH P lakini hayakuhusu,betina ama Zay B na mwili ulionyimwa supu,
Tatizo kwangu sio DOLA,marekani nina BALOZI
Nipo THABEET kama HASHEEM, swagga Bovu kama Wakazi,
mimi nageuka DUDU BAYA promota akileta Gozi,
Wapi mjomba KALAPINA ,mr BLUE analeta Mapozi,
Mi ni Mchizi kama MOX,Ukiniona Unafurahi
Ingawa niko Busy some times kama JAFARAI
Kwa Kula bwana MISOSI Ingawa Sitoki Tanga
Usinichokoze mi mzaramo,Hip Hop kwangu ni Vanga,
sitaki sifa mi sio DULLy ila nataka SALU T,
kwenye Anga za WATENGWA niwe kama JCB
Temeke mikoroshini nakatiza bila tabu
mi nalindwa na INSPECTAH,wenyewe mnamwita BABU,
Eyo ipi mnataka MOE ngoja niwape TECHNICKS
kwa Bongoflava mi ni fever,mi ni HECTIC
Yh Im Looking at YOU,whose the Don me or You?
Hapa DAR kwangu mimi Labda Mwanza,FID Q

CHORUS
TUNAUNGANA SISI KWA JINA LA HIP HOP
(WE FAMILY)
KUKABILI YOTE YANAYOTUFIKAAA
(WE FAMILY)
KWA MAADUI TUNATANGAZA VITAA
(WE FAMILY)
YAP YAP(WE FAMILY) YAP YAP (WE FAMILY)

VERSE.. 2(JAY MOE)
Tatoo sio Nyingi kama P FUNK ila mi mpenzi wa MAJANI
JAY ndio mimi MASTER si Produce ila Naghani,
Sounds zangu kiufundi nazicraft kama ENRICO
Kwa mapuch nawaangusha,nawaacha CHALI kama MARCO
Haya Matonge, nayatwanga kwenye Ulingo wa JAY RYDER
ndani ya TONGWE,sio Tanga Ila ni kwa kina JAY MURDER
swagga zina ladha mfano wa Vinanda vya BIZZMANA
Daresalaama hadi mwanza kama Q Im the Don DADA
Mi na LEMAR mandugu mithili ya SHAKII na DUNGA
LEMAR na Fish CRAB,jirani na klabu ya YANGA,
Mi ni SIMBA,Mpatani niite MIKA aliyo MWAMBA
Muulize GURU au BAUCHA,mi sina sifa ya Kuringa
Jina sio ALA,ila anakoma na haya mapigo
Vina vya maana na Ego sina kama LUDIGO
Kifo Cha ROY sio ENIKA tu,kwetu sote ni PIGO
muulize NOORAH au Mr BLUE kama unadhani uongo
Haikua ndogo simanzi ilituTACH kama DUKE
bado machizi ingawa sina track na MANEKE
Maknowledge kama DAZ,wapi OMEGA nipe tano
BIG kama LINDU,Big up HERMY na PUNCH LATINOO
Japokua Siitwi DAMIAN,mi ni mtoto wa DOWN TOWN
sio DENIS ila ni GRAND MASTER wa hii Fani
bora Tc,  na T....... Vx na WALTER hatujuani...
samahani NAHREAL na JUHUDI kwa kuwaweka mwishoni


VERSE 3 (SOLO THANG)
Hii SINGO ni BABU K,yani soo KIBAACHA
Mi na microphone kama ndugu MAPAACHA
Hapa HISABATI kama ADILI ,sio Nguvu ni AKILI
Mi Chadogi kama SOGGY hunijui Uliza Vizuri
Rangi yangu mi Nyeusi yani kama BLACK RHINO
Mimi hapa ndio MBAGALA just forget about DIAMOND
yani MSAFIRI toka KWANZA bila ndevu kama RHYMSON
Namshusha kuku kwa baiskeli na bata namvua Raizon
Toka A mpaka Y... AKWII    na Commercial,
Eyo kwa Vina mi sifai, nadhani mimi ni Special
Hii ndio Asili yangu NATURE kama JUMA hii ni Culture
kabla gari haijabuma yaw SUKA hebu ziba Panchaa
Nina sauti kama MANDOJO na DOMO langu ndio KAYA
Kwenye MIc nipo MAKINI JOH,tena ile mbaya
kama JOS mimi ni MTAMBO ila tofauti nipo Ng'ambo
Nina mzigo wa majukumu nipo SOLO kama RAMBO!

sikiliza wimbo huo kupitia 

No comments:

Post a Comment