Saturday, February 5, 2011

NIMEPORWA MCHUMBA NA MBUNGE - JAFARAI

Hapa Jafarai (kushot) akiwa studio katika mahojiano na mtu mzima Adam Mchomvu (kulia)

Msanii wa muziki wa kizazi kipya mtu mzima Jafarai aliyasema hayo baada ya kufanya mahojiano na kituo cha Clouds FM katika ki[pindi cha XXL. Jafarai alieleza kuhusu yeye na kuachana na mpenzi wake SHYROSE. Jafarai alialieleza kuwa ameishi na mpenzi wake huyo kwa miaka nane . akizungumza kwa hisia kali alisema kuwa ameamua kuachana na mchumaba wake huyo mara baada ya kubaini kuwa ana mahusiano na msanii mwenzake ambae kwa sasa ni mbunge wa mbeya mjini (SUGU) pia kwenye ukurasa wake wa FACEBOOK jafarai amemtaja wazi mwizi wake ambae ni sugu. angalia video ya mahojiano yake hapa chiniKILA LA KHERI KAKA

No comments:

Post a Comment