Saturday, June 13, 2015

SHUHUDIA YALIYOJIRI KWENYE TUZO ZA KTMA 2015.

Joh Makini akiwashukuru mashabiki wake (hawapo pichani) baada ya kuchukua tuzo ya Mtunzi Bora wa mwaka wa Hip Hop akiwa na Nikki Wa Pili (kushoto).
Msanii wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee.
Vanessa akiwapagawisha mashabiki wake (hawapo pichani).


MAJINA YA WASHINDI WA TUZO ZA KTMA 2015
1. KIKUNDI BORA CHA MWAKA - BONGO FLEVA - YAMOTO BAND
2. KIKUNDI BORA CHA MWAKA TAARAB - JAHAZI MODERN TAARAB
3. BENDI BORA YA MWAKA - FM ACADEMIA
4. MSANII BORA CHIPUKIZI - BARAKA DA PRINCE
5. WIMBO BORA WENYE VIONJO VYA ASILI YA KITANZANIA - WAITE -MRISHO MPOTO FT. FELLY KANO
6. WIMBO BORA WA ZOUK/RHUMBA - NITAMPATA WAPA  - DIAMOND PLATNUMZ
7. WIMBO BORA WA AFRO POP - MWANA ALI KIBA
8. VIDEO BORA YA MWANAMUZIKI YA MWAKA - MDOGO MDOGO - DIAMOND PLATINUMZ
9.MTAYARISHAJI BORA WA MWAKA BENDI - ENRICO
10. MTAYARISHAJI BORA WA NYIMBO WA MWAKA BONGO FLEVA - NAHREEH
11. MTUNZI BORA WA MWAKA- HIPHOP - JOH MAKINI
12. MTUNZI BORA WA MWAKA BENDI - JOSE MARA
13. MTUNZI BORA WA MWAKA BONGO FLEVA - ALI KIBA
14. MTUNZI BORA WA MWAKA TAARAB- MZEE YUSSUF

No comments:

Post a Comment