Tuesday, June 9, 2015

JANUARY MAKAMBA KUCHUKUA FUMU YA KUGOMBEA URAIS

Mh. January Makamba na mkewe wakiwa katika basi lao maalumu njia kuelekea Dodoma kwa kazi ya moja tu ya Kuchukua Fomu ya kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Januari atachukua Fumu hiyo leo saa tano asubuhi na safari yake ya kusaka wadhamini itaanzia kesho mkoani iringa.

Hili ndio basi linalotumiwa na Mh. January makamba kuzungukia mikoani kusaka wadhamini watakaomuwezesha kugombea nafasi ya urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi. Picha na Sule Junior.

No comments:

Post a Comment