Friday, June 12, 2015

MAKAMBA: SIFANYI SIASA ZA KUCHAFUANA, APATA MAPOKEZI MAKUBWA RUVUMA / SONGEA

Mh January Makamba akihutubia wanachi na wanachama wa CCM mkoani Ruvuma mara baada ya kabidhiwa fomu yenye sahihi za wanachama waliomdhamini.
Mh January Makamba akihutubia wanachi na wanachama wa CCM mkoani Ruvuma ndani ya ukumbi wa ofiswi kuu ya chama hicho mkoani Ruvuma. kuanzia kushoto ni mke January Makamba, Ramona Makamba, katibu wa CCM mkoa wa Ruvuma, Verena Shumbusho na kulia ni mwenyekiti wa CCM mkoa, Odo Mwisho
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Ruvuma, Odo Mwisho akimkabidhi fomu yenye majina na sahihi za wanachama waliomdhamini mh. January Makamba. Makabidhiano hayo yamefanyika katika ukumbi wa mikutano katika ofisi kuu ya CCM mkoa wa Ruvuma.
Mh January Makamba na mkewe, Ramona Makamba wakipeana mikono na wanachama wa CCM mkoa wa ruma waliofika katika ukumbi wa  mikutano katika ofisi kuu ya CCM mkoa wa Ruvuma.
Katibu wa CCM mkoa wa Ruvuma, Verena Shumbusho akiwakaribisha mkoani Ruvuma Mh January Makamba na mkewe, Ramona Makamba.
Mh. January Makamba akiweka sahihi katika kitabu cha wageni katika ofisi ya katibu wa CCM mkoa wa Ruvuma.
Baadhi ya waendesha bodaboda na wananchi wa mkoa wa Ruvuma wakiongoza msafara wa mh. January Makamba kuelekea katika ofisi kuu ya CCM kwa ajili ya kuzungumza na wanachama wa CCM waliojitokeza na kuweka sahihi katika fomu ya udhamini. January amejizolea sahihi 3550 kutoka kwa wanachama wa mkoa wa Ruvuma.
Piza Zote na Suleiman Lyeme

No comments:

Post a Comment