Thursday, June 7, 2012

VIJANA WA CCM TEMEKE WACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA NAFASI YA UWENYEKITI

Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana CCM, UVCCM. Temeke Pius Seleman ' Pukapuka' akimkabidhi fomu ya kugombea nafasi ya Uwenyekiti wa Umoja huo Wilaya ya Temeke Athumani Nyamlani Dar es salaam jana anaeshudia katikati ni Mwenyekiti wa Vijana Kata ya Sandali Bw. Ramadhani Mgomi.
Picha na Mpiga picha Wetu

No comments:

Post a Comment