Thursday, June 7, 2012

SUPER D AENDELEA KUWAFUA MABONDIA KAMBI YA ILALA KWA AJILI YA MPAMBANO WA KUMI BORAJUNE 15

Kocha wa Kimataifa wa Mchezo wa Masumbwi Nchini Rajabu Mhamila 'Super D'  kushoto akimwelekeza jinsi ya kutupa makonde bondia Said Mtitu wakati wa mazoezi yanayoendelea katika Kambi ya Ilala Dar es salaam jana  ya kujitaharisha na mashindano ya kumi Bora yatakayofanyika june 15 katika ukumbi wa Panandi Panandi Ilala Bungoni.
Kocha wa Kimataifa wa Mchezo wa Masumbwi Nchini Rajabu Mhamila 'Super D'  kulia akimwelekeza jinsi ya kutupa makonde bondia Said Mtitu wakati wa mazoezi yanayoendelea katika Kambi ya Ilala Dar es salaam jana  ya kujitaharisha na mashindano ya kumi Bora yatakayofanyika june 15 katika ukumbi wa Panandi Panandi Ilala Bungoni. Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments:

Post a Comment