Sunday, June 10, 2012

IMAGE PROFESSION KUANZA KUKUSANYA MAOINI YA MASHINDANO YA KUCHORA.

Image Profession (iP), inatarajia kutangaza muhula wa pili wa mashindano ya uchoraji yenye nia ya kuchochea tabia za kupenda kujihusisha na sanaa ya uchoraji na kuibua vipaji vya uchoraji.Mashindano yatashindanisha washiriki kutoka Taasisi za kielimu kwa makundi manne:-
1. Shule za awali/Nusery Schools
2. Shule za Msingi/Primary Schools
3. Shule za Sekondari/Secondry Schools
4. Taassi za Elimu ya Juu/Higher Learn Institutions
Tunakusanya maoni ya namna nzuri ya kuboresha mashindano haya na kuyafanya yawe ya kuvutia na washiriki wengi zaidi katika makundi husika.
Kwa ushauri,maoni na mapendekezo tuwasiliane kwa
Barua Pepe:info@imageprofession.com
Simu Office: +255222664740
Simu Kiganja: +255716430084,+255766248372 au +255653029037

Wasalam
Fredrick N.Roy
Image Profession
Mratibu wa Mashindano
P.O.Box 92
Dar es salaam
Tanzania


No comments:

Post a Comment