Sunday, June 10, 2012

ILIVYOKUWA JANA KWENYE TEEN TALENT PALE LEADERS CLUB.

Baadhi ya wasanii wakijiandikisha kushiriki kwenye TEEN TALENT.
Mwaandaaji wa TEEN TALENT (mwnye kaptola nyeupe) akizungumza na washiriki.
Majaji wa TEEN TALENT wakifanya kazi yao.
Mmoja wa washiriki akionyesha uwezo.
Baadhi ya washiriki wa TEEN TALENT wakicheza muziki.
washiriki wa TEEN TALENT wakiwa katika picha ya pamoja na mwaandaaji (mwenye kaptula nyeupe)
Baadhi ya warembo wakiwa wamepozi na kamera ya MTOTO WA KITAA huku wakisubiri uamuzi wa majaji.

No comments:

Post a Comment