b..

B1

Wynem

animation

Thursday, November 1, 2012

USAILI UNIQUE MODEL NI NOV 18 SAA NNE ASUBUHI PALE LAMADA HOTEL

Mkurugenzi wa shindano la Unique model akizungumza na waandishi wa habari jana katika hoteli ya Holiday Inn ambapo mchakato huo umefunguliwa rasmi,kushoto ni Afisa mipango wa shindano la unique model Yasinta julius na Happy Mushi (katikati) ambae ni Head of finance.

Kutoka
Kutoka kulia ni Denic Lucas ambae ni mwalimu wa dansi wa washiriki akifatiwa na Mariam Hamis mbae ni Mkuu wa itifaki.

No comments:

Post a Comment