Sunday, November 4, 2012

WASANII WA ARUSHA WAACHIA NGOMA MPYA - ARUSHA KILELE

Katika kusherehekea Arusha kuwa Jiji,Artists kutoka kaskazini kwa pamoja wamerecord track pande za noizmekah studios kwa hisani kuu ya Serikali yaani ofisi ya mkuu wa mkoa na Manispaa ya jiji na nyimbo inakwenda kwa jina la "Arusha Kilele" inayozungumzia mema na mazuri tele kuhusu Arusha.
sikiliza na kudownload hapa kusupport Tanzanian music.

No comments:

Post a Comment