Friday, November 2, 2012

MDAU JIMMY CHARLES KUTOKA MSAMA PROMOTIONS / DIRA MEDIA GROUP AACHANA NA UKAPERA

Bw. harusi Jimmy Charles Bi. harusi Janet Christopher
Bwana harusi kumvisha pete bi harusi
Bw. harusi Jimmy Charles Bi. harusi Janet Christopherwakionyesha cheti cha ndoa iliyofungwa katika kanisa la kkkt usharika wa kipawa.
Mkurugenzi wa Msama Promotions, Alex Msama akishoo lav na maharusi
Bwana harusi na bestman wake

No comments:

Post a Comment