Tuesday, December 7, 2010

WASHIRIKI WA GIRAFFE UNIQUE MODEL KUINGIA KAMBINI DESEMBA13.

    Washiriki wa shindano la kumsaka mwanamitindo mwenye sifa za kitofauti zinazidi kupamba moto siku hadi siku baada ya washiriki kusubiri kwa hamu tarehe ya kuingia kambini kwa ajili ya mchuano wa kuwania taji hilo litakalofanyika desemba 24 mwaka huu katika hoteli ya Giraffe Ocean Vew iiyopo jijini Dar es salaam.
  Jumla ya washiriki kumi watakaoingia kambini ni Ritah samweli,dorah mhando,asia dachi,christina peter,diana hamson,neema silvery,bilkis suleiman,carina suleiman,mariam rabii na caroline makasaka.
 Hidaya meeda ndiye matroni wa mamodo hao wakisimamiwa na mwalimu wa dance mkwame mtaalamu wa dance  toka chuo cha sanaa bagamoyo .

  Giraffe unique model 2010 TUUNGANE KUVUMBUA VIPAJI VIPYA

No comments:

Post a Comment