Huyu ndio Mariam Suleiman Lymee
Mariam akiwa na kaka yake Sule junior
Hapa mariam akiwa na rafiki zake
Mariam akiwa na mama yake mdogo (kulia), mdogo wake(kushoto) na mwenye joho na kilemba chekundu ni shangazi yake ambae wamemaliza nae digrii ya kwanza
Mariam akiwa na kaka yake Hussein Suleiman Lyeme
Mariam akiwa na shemeji yakeRashid Kitambulio
Mariam akiwa na Shemeji yake Rashid Kitambulio (kushoto)na baba yake mzazi Sheikh Suleiman Lyeme (kulia)


Sule Junior akiwa na kaka yake Juma mabula

Mariam akizungumza jambo na shemeji yake


Sheikh Suleiman na wanae. Kuanzia kulia ni Hussein Suleiman, Mariam Suleiman, Hawa suleiman Sheikh Suleiman (baba) na Salum suleima (sule Junior)

MAriam, hawa, Leila na Sophy


Sule Junior na mrembo Leila tukishow love

Mariam, Sule Junior na Leila wakishow love kwa pamoja

Dogo akikandamiza msosi

Hawa ni ndugu jamaa na marafiki waliokuwepo kwenye tukio


Watoto na mama



Wtoto na baba

kaka yangu mpendwa Hussein alinisindikiza stendi kupanda gari kurudi dar!

Next day a.k.a siku iliyofuata! mtoto wa kitaa nilipokuwa nasepa kurudi jijini dar kuendeleza harakati. huyu ni anko wangu alinasindikiza stendi baaana!
No comments:
Post a Comment