Wednesday, December 8, 2010

HAPPY B'DAY SOLO THANG (ULAMAA)

Kama kawa kampuni ya Sule's Inc. &Entertainment kutakia wadau wake heri ya sikukuu. Leo inamtakia sikukuu njema ya kuzaliwa mtu mzima Solo Thang a.k.a Ulamaa / Mwanazuoni aliekomaa. Solo ni mmoja wa wanaharakati wa muziki wa kizazi kipya ambaye kwa sasa nafanya shughuli zake nje ya Tanzania.

No comments:

Post a Comment