Sunday, April 4, 2010

PASAKA YA LEO!!hizi ni barabara za mjini zilivyo nyeupe ingawa siku za kazi kuna foleni ya kufa mtu.
YAANIPaska ya leo mjini ni shwari ile mbaya yani pame poa sio kawada, kila kona pana utulivu wa kutosha kabisa. ilaaaaaaa fujo zipo coco beach ambapo wanapaform wasanii kibao tu.

No comments:

Post a Comment