Friday, April 2, 2010

kili music award


hatimae lile zoezi la ugawaji wa tuzo kubwa hapa nchi linalojulikana kama kili music award limeingia dosari baada ya msanii khalid mohamed (tid) kujitoa katika moja ya kinyang'anyiro ingawa msimu huu wa mwaka 2010/2011 waandaaji wamejitahidi sana kuliweka sawa kutokana na kusemwa kukosea karibu kila mwaka....... TID niaje mzaziiii?!

No comments:

Post a Comment