Thursday, April 1, 2010

nyumbani ni nyumbani


Hapa bana nilikuwa pande za homu kule kwa baba! si unajua tena qwazazi ndio kila kitu?! hapa moo town mji unaosemekana wanaishi wagumu tu!

No comments:

Post a Comment