Saturday, April 3, 2010

hasolin!


mambo vipi wanangu wa kitaa?! mko pouwa?! mwanaenu nahaso kama kwa full mishemishe ila ni lazima niwa wish heri ya skukuu bana! PASAKA NJEMA MAZEE!
Hapa mtoto wa kitaa nilipowatembelea anangu wa kugonga kokoto pande za kunduchi mashimoni

No comments:

Post a Comment