Thursday, April 22, 2010
Sunday, April 18, 2010

Hawa ni masakala mobb....

Kundi la adventure........

ADVENTURE wakiwa kazini..



Sunday, April 11, 2010
Miss Mwanza 2010 ni mpango mzima


Afisa+mwandamizi+Sahara+communication+Mwanza+na+John+Dotto+mwandishi+wa+gazeti+la+Mwananchi,+wakiwa+katika+mjadala+muhimu+wa+kitaifa.jpg)
SHINDANO la kumsaka mrembo wa Mwanza 2010, sasa liko njiaani na linatarajiwa kufanyika Juni 4, mwaka huu kwenye Ukumbi wa Yatch Club jijini mwanza, imefahamika.
Kampuni ya Sisi Entertainment ambayoi ndio inayosababisha mpango mzima imesema kwamba warembo zaidi ya 15 watakimbizana katika kuliwania taji
Kwa mujibu wa taarifa hiyo iliyosainiwa na Mkurugenzi wa Kampuni ya Sisi Entertainment, Bw. John Dotto, maandalizi ya shindano
“Tumejipanga kufanya shindano la kutoa warembo bora
“…..Haiwezekani kutegemea watalii kutoka nje tu. Kwa mfano Mwanza ina sehemu nyingi za kutembelewa na watu kujifunza mambo mengi, tena kwa gharama nafuu zaidi,” ilisisitiza taarifa hiyo.
Dotto alivitaja vivutio vya utalii hivyo kuwa ni hifadhi ya wanyama ya Serengeti, hifadhi ya wanyama ya Kigosi-Moyowasi, Ziwa
Alisema sehemu kubwa ya maandalizi itakuwa ni darasa la kutosha kabisa kutoka kwa watalaamu wa ushauri nasaha wanatakaowapa somo warembo wote ili kuishi katika hadhi wanavyostahili.
Kampuni ya Sisi Entertainment ikiwa chini ya udhamini wa Vadacom na Bia aina ya Redds’ kutoka TBL, ina rekodi ya kufanya vema kwenye mashindano ya urembo baada ya mwaka jana kuingiza warembo watano katika 10 bora ya shindano la taifa.
Warembo hao walitokea kituo cha
.......kama vipi.... tukutane pande hizo tukale SATO na SANGARA BANAA!
Saturday, April 10, 2010
SULE'S WEAR.
KITAA CHETU.
Hili ni kundi la PAPILI CAMP likifanya mambo.
Huyu ni miongoni mwa majaji wa hili shindano anaitwa bw FRENK
Mmoja wa majiaji MONALISA akisoma matokeo.
……show ilikuwa ni ya mashindano ya kusakata dansi bana.. …yaani unaambiwa mtu nyomi kama kama kiwanja flani hivi cha mbele kumbe ni huku kwetu uswazi. Ma camp kibao kutoka mtaa tofauti tofauti na pande zite za jiji yalishriki.
Kwa mujibu wa mmoja wa waandaaji wa mashindano hayo amesema wameamua kuingia mtaani kusaka vipaji kwa sababu wanaamini kabisa mtaani ndiko vilipojificha vipaji vya ukweli ambavyo haviwezi kuonekana kwa sababu havipewi nafasi kabisa. …..“tumeamua kuingia mtaani kusaka vipaji vya kudansi kwa sababu tunaimani kuwa huku ndio kuna vipaji vya ukweli kabisa ila haviwezi kuonekana kutokana na kukosa nafasi ya kushiriki mashindano makunwa makubwa”..
Aliongeza….. “…..Sisi kama BONGO SHAKERS ENTERTAINMENT tumejupanga vya kutosha kuwapata na pia tuna majaji wa ukweli ambao watatusaidia katika mpango mzima!”
….show ilikuwa ni ya kimtaa zaidi kutokana hata washiriki (madansa) wenyewe walionekana kuwa ni wageni sana kwenye genu.
Pia mtaani bana hapakosekani burudani mzeiya……. Wasanii wetu wa kitaa kama kawa waliwakilisha ipasavyo kwa kutoa ushirikiano kwa madansa kwa kupafom nyimbi kubao tu ambazo ni kali tu kwa kusikiliza ila hazipo on air ….si umajua kimtaa mtaa?! Ngoma zinasikiliziwa geto tu!....
Thursday, April 8, 2010
Tuesday, April 6, 2010
PIGO KWA MWANAHALISI.
Monday, April 5, 2010
mating'a ya pasaka





