Sunday, September 2, 2012

TIMU YA TAIFA YA MASUMBWI IKIWA MAZOEZINI


Undule Langsonkushoto na Abdallah Kasimu wakioneshana uwezo wa kutupiana masumbwi wakati wa mazoezi ya timu ya taifa

Kocha wa ngumi Hassani Mzonge katikati akioneshana ufundi wa kutupiana masumbwi na Undule Langson wakati wa mazoezi ya timu ya taifa  kulia ni Abdallah Kasimu

Bondia Selemani Kidunda kulia akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa kituo cha televisheni ya Mlimani walipotembelea mazoezi ya timu ya taifa ya masumbwi yanaoendelea katika viwanja vya GYMKHANA
Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments:

Post a Comment